Hizi ndio Sababu za Vanessa Mdee Kuacha Rasmi Muziki


Baada ya kelele nyingi za mashabiki wa msanii Vanessa Mdee V Money kwa nini amekaa kimya kwa muda mrefu hatimaye atangaza kuacha muziki akitoa sababu zifuatazo.

Akizungumza kwenye podcast yake amesema.

1. Muziki umekuwa haumlipi kwa muda wote ambao ameufanya.
2. Muziki ulimletea msongo wa mawazo yani depression na anxiety mpaka kufikia kunusulika kufa.
3. Muziki ulimuingiza kwenye ulevi uliopitilia wa kulewa kwa masaa 24 kwa mwaka mzima 2019.
4. Hakuwa na maelewano mazuri na mama yake kwa kuwa hakuwa akipenda V afanye muzki.
5. Muziki ulifanya aishi maisha ya kuigiza na kufurahisha mashabiki huku deep down akijua anaishi maisha yaliyo juu ya uwezo wake.

Hizi ndio sababu zilizofanya aache muziki na kuweka maisha yake kwa Rotimi ambaye anasema kamrudisha kwenye maisha na kazaliwa upya baada ya kukutana nae.

Zile tetesi kwamba V money kamkimbia Zuchu si za kweli kwa maana hii. That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments