6/29/2020

Huu Hapa Ujumbe wa Ray C Kwa Babu Tale "Shammy Kakuachia Damu yake.....Ukiwaonyesha Maumivu nao pia Hawatakuwa Sawa"

 

Ameandika Ray C katika Ukurasa wake Instagram:

"TALE..........Ujumbe wangu kwako................... Lia uwezavyo!Garagara uwezavyo!Piga kelele uwezavyo!Maneno yote yatamke!Hasira zote zitoe!Maumivu yote  yatoe! Una haki yote ya kufanya hivyo sababu una sababu ya kufanya hivyo! Ila usikufuru.Damu ya hawa viumbe ina damu ya shammy......Maana yake ni kwamba yupo ulipo!Popote ulipo!Ndani yako na ndani ya  watoto wako.Kumbukumbu yake ipo kwenye hawa viumbe wako.Na itabaki kuwa hivyo usisahau hilo. Hawa viumbe wanahitaji nguvu yako wewe tu.Ukisimama imara nao watasimama imara..Ukiwaonyesha maumivu nao pia hawatakuwa sawa.Ni wadogo sana na  hawatakiwi  kuona  kabisa maumivu yako utawaathiri sana.....Jikaze!Sio rahisi kwa muda huu ila inabidi ujikaze sababu ya watoto.Ali alienda! Abdul alienda na Shammy kaenda ila kakuachia zawadi ya hawa viumbe maana yake kakuachia damu yake.....Wewe ndio baba wewe  ndio mama....Simama imara  kama una imani na Mungu wako  halafu sema "Alhamdullilah"maana Mungu hajawahi kukosea kwenye mipango yake.... ALLAHU AKBAR.๐Ÿ™
Pole sana mdogo  wangu.๐Ÿ™"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger