Huyu Hapa Director Kenny Mchawi wa VIDEO Zote za Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kennedy sanga maarufu director Kenny moja ya video director wakubwa hapa east Afrika na director namba moja wa Diamond Platnumz
Kitaaluma ni fundi umeme.Alianza mambo ya video kama mmoja wa wasaidizi wa director hanscana.
Video ya kwanza kuifanya ilikuwa ni dede ambayo anasema alifanya bure na ndiyo iliyompa connection na WCB kwani mara baada ya Diamond kuiona aliipenda na kuamua kufanya naye kazi.
Last year alishinda tuzo ya afrimma kama best director in Africa kupitia wimbo wa tetema wa rayvanny na Diamond Platnumz.

Kuibuka kwake katika tasnia ya burudani nchini kumekuwa kama daudi kupewa ufalme yaani from no where to work with great artist in Africa anasema siri ya yote ni maombi.
Tofauti ya Diamond na media na wasanii mbalimbali inaonekana kumuathiri na yeye ndo maana amekuwa akifanya kazi nyingi za WCB tu licha ya kufanya vizuri nchini kwa sasa japo anasema anaweza kufanya kazi na msanii yeyote.

Pia maadui wa Diamond wamekuwa mstari wa mbele katika kukosoa na kutafuta makosa tu katika video zake kwani mti wenye matunda ndio ambao hupigwa mawe . ukweli ni kwamba hakuna kitu kipya na si kwamba director wengine hawatumii idea nyingine ila ile kufanya kazi na Diamond imemlennnnntea upinzani wa moja kwa mojakwa wasio mashabiki wa Diamond.

Pamoja na yote hayo,he keep growing up kwani amehusika katika highly watched music videos in East and central Africa kama vile hope remix,inama,sikomi,kwa ngaru , tetema,n.k
My take; keep working guy .we appreciate what you are doing Kenny
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad