Kampuni ya gucci kumpa dili rapa gucci mane,kubuni bidhaa zake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kampuni ya gucci kumpa dili rapa gucci mane,kubuni bidhaa zake
Wanasema Majina huakisi baadhi ya Tabia/Vitu vya mtu. Ndivyo ilivyotokea kwa Rapa maarufu nchini Marekani GUCCI MANE, ambae Kama lilivyo jina lake basi kampuni kubwa ya mavazi ya gucci ipo mbioni kumpatia dili la kubuni bidhaa zake kupitia 'Brand' hiyo • 

Kupitia ukurasa wake wa Twitter , Rapa huyo ame-share habari hiyo kwa Mashabiki zake kwa kusema kuwa kampuni hiyo (Gucci) ipo mbioni kumlambisha dili hilo nono ivyo anatamani likamilike 

Vilevile ukiachana na Kuwa habari hiyo ni Kubwa na Njema kwa Rapa huyo , lakini kupitia Twitter pia amewaomba Mashabiki zake wamshauri Kama Ni sahihi Kuendelea na kufanya kazi na Lebo Atlantic Records ambayo alitangaza kuitema na kufungua Lebo yake .

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad