Kuoa Mwanamke "Mama wa Nyumbani" ni Bora zaidi Kuliko Wanaofanya Kazi MaofisiniNielekee moja kwa moja kwenye maada kiasili mwanamke ameumbwa kuwa mlezi wa familia na siyo mtafutaji na mwanaume kiasili anatakia kuitafutia familia yake mahitaji ila kwa mfumo wa maisha sasa imesababisha wanawake wawe watafutaji badala ya kulea familia kusababisha ndoa nyingi kuvunjika na familia kukosa malezi ya watu sahihi.

Tumeshuhudia maofisini jinsi wake za watu wanavyotafunwa kwa tamaa zao unakuta ofisi moja ameliwa njemba 4 au 5 bado wa pembeni afu kamshahara kenyewe hakasomeki ni bora mke akae nyumbani alee watoto umtafutie kijimradi cha nyumbani awe karibu na familia sio mkeo yupo Dodoma kikazi we upo Arusha na watoto hapo kuna kitu familia inakosa na inaendea kuvunjika wanaume wanaopenda mterezo inawahusu sana aka ganda la ndizi

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments