6/26/2020

Lema Afunguka "Madini ya Tanzanite Yameuzwa Kama Wanauza saa ya Mike Tyson kwa Kukosa Uelewa"Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, amesema kukosekana uelewa wameshusha thamani ya Tanzanite kwa hali ya juu.

“Piece ya kilo 9.27 na 5.28 ni unique pieces ambazo kwa bei mnayo pigia kelele sio zaidi ya USD 3.5 milioni,” aliandika Lema katika ukurasa wake wa twitter.

“Najiuliza sasa ni pieces gani nyingine zitapata thamani kuonyesha upekee wa madini haya,” aliandika Lema.

Lema  amesema madini hayo ambayo ni adimu bei zake hazipangwi kwa gramu isipokuwa upekee.

“Kuna rules katika biashara hizi, rules hizo hazihitaji degree/PHD isipokuwa wall street thinking. Nani ataona thamani ya Tanzanite kwa kilo 9.27/5.28 kuuzwa sawa na saa ya Mike Tyson na mnunuzi ni serikali?,” aliandika Lema.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

2 comments:

 1. Uliekuwa mbunge, INAKUHUSU..??

  Umeshakuwa dealer..?? Nyammaza angalia
  ajira mpya hapo stendi. ya Mtori au
  Gereji itapendeza. Ya Sigara kubwa
  Utaingia matatani.

  ReplyDelete
 2. Godilesi, tumesha kusahau.
  Siuliwahi kuwa mbunge kipindi kilicho
  pita?

  Sasa uko wapi mwenzetu? na chama gani?

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger