6/28/2020

Matokeo ya mechi zote ligi kuu Tanzania bara leo Juni 28Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea kupigwa leo kwenye viwanja viwili ambapo Tanzania Prisons iliwakaribisha vinara wa ligi hiyo Simba SC kwenye uwanja wa Sokoine jinini Mbeya huku Mbao FC wakiikaribisha Polisi Tanzania kwenye uwanja wa CCM Kirumba. 

Na haya ndio mataokeo ya michezo hiyo; 

FT: Mbao FC 1-0 Polisi Tanzania. 

FT: Tanzania Prisons 0-0 Simba SC. 
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger