"Kila Mtanzania ni First Class Siku Hizi" Rais Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




“Kila Mtanzania ni first class siku hizi, Nchi hii ni tajiri kilichokuwa kinatusumbua ni ufisadi na wizi, kikipatikana kitu hakiendi kwa Watu walengwa, kwani mimi ni Malaika!?, mbona Ndege tumenunua zaidi ya 10 kwanini hawakununua zamani”-JPM

“Kwenye corona tumeweza, hapa tumekutana hatujavaa chochote, unaambiwa usimsogelee Mtu hadi Mita moja, Mkeo au Mumeo utaacha kumsogelea?, mtapataje Mtoto bila kusogeleana, ni mambo ya ajabu,ndio maana tukasema sisi tutaendelea kusogeleana, Mungu anatulinda”-JPM

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad