6/21/2020

Mtoto wa Uwoya: Mimi ni Mvulana, Si Msichana, Nitawashtaki Wanaonidhihaki, Mama Yangu Analia Sana

Mtoto wa Irene Uwoya, Krish Hamad Ndikumana ameamua kuuvunja ukimya na kueleza kukerwa na baadhi ya watu mtandaoni ambao wamekuwa wakimdhihaki kutokana na muonekano wake. Amesema kama wataendelea, atachukua hatua za kisheria dhidi yao

VIDEO:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger