6/19/2020

Mwana FA "Watoto Wangu Hawawezi Kuwa Wasanii..."MshuaMasta @mwanafa anasema yeye hakuwahi kubahatika kuishi na wazazi wake. Baba yake hakumuona sana, Mama yake aliishi naye kipindi kifupi na baadae alifariki.
.
FA anasema kwamba hataki watoto wake (Ana mabinti wawili), waishi maisha aliyoishi yeye. "Niko karibu sana na watoto wangu.." alisema FA.

Hata hivyo FA anasema kwamba yeye ni Baba ambaye hatawachagulia watoto wake kitu cha kufanya lakini katika hayo ambayo hawatachagulia Muziki haupo.

Kwa msisitizo FA alisema hawezi kuruhusu mabinti zake wawe wasanii kama yeye. Unadhani kwa nini?

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger