Mwijaku Atoa ya moyoni "Harmonize na Sallam SK Mnaonyeshana Chuki Kwenye Msiba, Muombeni Mungu Msamaha"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa Bongo movie na Mtangazaji wa Cloudstv @mwijaku amewageukia meneja wa Diamond Platnumz na Harmonize kwa kuwaonya juu ya tukio walilolifanya siku ya jana kwenye msiba wa aliyekuwa mke wa Babu Tale Morogoro.



Katika msiba huo Harmonize alionekana akimpa mkono wa salama meneja wa Diamond Sallam Sk huku Sallam akiutupilia mbali mkono huo wa Harmonize.

Baada ya tukio hilo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, watu wengi walitoa maoni yao lakini kubwa zaidi ni Mwihjaku tuwatumia ujumbe huu akiwaomba wamuombee dua marehemu pia wamuombe msamaha MwenyeziMungu kwa kile walichokifanya.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad