google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Ajitosa Kugombea Urais Zanzibar | UDAKU SPECIAL

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Ajitosa Kugombea Urais Zanzibar

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni leo tarehe 22 Juni 2020, amejitokeza katika ofisi kuu za CCM zilizopo Kisiwandui mjini Zanzibar kuchukua fomu kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar kugombea urais.

Masauni anafanya idadi ya makada wa chama hicho waliojitokeza kuomba kuteuliwa visiwani humo kufika 17.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad