Nani Anaweza Kuwa Na Ujasiri Huu? Wanandoa Waunganisha Sherehe ya Harusi na Ibada ya Mazishi

advertise here
Nani Anaweza Kuwa Na Ujasiri Huu? Hapo Nyuma Ni Jeneza La Mama Wa Bwana Harusi, Harusi Hii Imefungwa Jana Kigamboni, Mama Huyu Alifariki Siku Ya Sendoff Ya Mkwe Wake. Wanandoa Wakaamua Kuunganisha Ibada Ya Ndoa Na Ibada Ya Mazishi On The Sameday, Je Wewe 'Ujasiri' Huu Unao?

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE