6/29/2020

Nilimpenda Mdogo Mtu, Dada Mtu Akanipenda zaidi Hali iliyopelekea Kuwa nao Wote Kwenye MahusianoKuna wadada wawili tumbo moja, wazuri na wanavutia sana lakini mdogo mtu alikuwa mzuri zaidi, mkimya mwenye dharau ndani yake ya kujiona yuko level flani hivi za juu. Huyu ndio macho na hisia zangu ziliangukia kwake, alifanya kila weekend nisafiri kutoka Mtwara nilipokuwa kikazi to Dar. Dada mtu alianza kunitafuta yeye hivyo nikapata mawasiliano yake then nikapata mawasiliano ya mdogo mtu kupitia kwake.

Baadae nikaja kugundua dada mtu alikuwa ananipenda sana na alimweleza mdogo mtu hili. na hii ikawa changamoto kwangu sana,maana sikuwa na malengo nae japo alikuwa mzuri, mkarimu na mpenda stori sana, Hakuwa kipaumbele changu kabisa. Hawa watu walikuwa wamepanga nyumbani na chumba chao kiko chobingo huko karibu na room langu ambalo mtu akiingia huwezi jua, na wote walikuwa wafanyakazi.

Kadri mda ulivyokuwa unaenda ndivyo nikajua huyu dada mtu ananitaka kimapenzi na sikutaka kumuonesha ushirikiano maana ningemkosa mdogo mtu ambaye ndiyo ilikuwa target yangu. Siku moja weekend akaniuliza kama nitakuwa Dar, nikamjibu. Siku ile nimefika Dar kama saa 6 usiku hivi, nikakuta wote wamelala kasoro yeye na mda wote alikuwa ananitext kutaka kujua sehemu niliyofika, alinipokea nikakuta nimeandaliwa msosi wa kufa mtu, na vikolombezo kibao nikala, wote tukawa tuko geto kwangu huku tukipiga stori mpaka saa 8 kasoro akaenda kulala. Sikutaka kumla kabisa kuogopa kuharibu japo alikuwa wazi kabisa kuliwa.

Cha ajabu kesho yake asubuhi, Akaja geto hajavaa chochote zaidi ya khanga, Akakaa kitandani nikajikuta nimekumbatia, mkono huo funua khanga hakuvaa chochote zaidi ya shanga mbili nyembamba na vile alivokuwa white zilivutia kweli, kidole hicho kupima oil, mtoto akavamia sikio langu kwa ulimi.. kabla hatujafika mbali nikamueleza kuna mdogo wangu anakuja pale room kwangu so atoke nitamtafuta baadae, nilimdanganya ili kuogopa kuharibu. Cha ajabu akaenda kumueleza mdogo mtu yote haya yaliyotokea.

Siku hiyo jioni, nikaomba appointment na mdogo mtu nilikutana na ugumu sana maana tayari alijua mimi shemeji yake wakati hata sikuwa na nia na dada yake, Alinikatalia pamoja na kumaliza maneno yote kinywani kwamba sitembei na dada yake na alikuwa anamuogopa dada yake na hakuweza kumwambia chochote kuhusu mimi aliogopa wasije kukorofishana,Huyu mkubwa akawa ananipenda ile level ya ukichaa hata sijui nini kilimtokea kuhusu mimi, stori kwa mdogo wake ilikuwa ni mimi tu na mdogo mtu akawa anasisitiza niwe na dada yake.

Nikapunguza mawasiliano na dada mtu, miezi ikaenda japo akawa anaitafuta karibia kila siku na hata niliporudi Dar nikawa niko busy kuwasiliana na mdogo wake lakini yeye hakujua hili. Mdogo mtu alipojiridhisha sitoki na dada yake akanipa nafasi ya kuonana nae nje ya pale nyumbani, siku hii nilirudi Dar weekend hata sikufika nyumbani ili nisilete sintofahamu kwa dada yake maana tusingeonekana wote,niliitumia fursa vizuri sana, hakuna aliyekumbuka kurudi nyumbani sio yeye wala mimi rasmi nikawa nimeshamuingiza kwenye himaya yangu.

Nikarudi mtwara, akachukua ruhusa kazini kwao akaja nikakae nae wiki, akawa ni mpenzi wangu japo mda wote tulikuwa tunatafuta namna nzuri ya kumwambia dada yake haya mahusiano ili nimtambulishe rasmi nyumbani maana bila hivo ingekuwa vita, miezi ikaenda.

Siku moja nimeenda home, mdogo mtu hakuwepo alikuwa safari kikazi. Nimefika nikawa nimejilaza room kwangu, huyu dada akaja kavaa khanga moja na mimi nina kibukta tu chepesi akakaa kitandani ni mcheshi sana kwa stori, sasa akawa anakubushia siku ile ya nyuma niliyompima Oil then nikamuacha bila kumfanya kitu huku amenikumbatia, Abdallah kichwa wazi si akasimama bhana akamuona, akamshika akawa anamminya minya kilaini. Aikii yangu ikahama kabisa, nikamsogeza. Michezo ya kikubwa ikaanza.

Huyu dada ana jua mahaba tukajikuta usiku mzima tuko piga mechi mchangani

Kesho yake, akampigia mdogo mtu simu akaanza kumueleza yote tuliyofanya. Nilipigiwa simu na mdogo mtu ya matusi nikawa sina hata cha kujibu, nimeduwaa tu. At the end mdogo mtu akasema "Endeleeni, dada yangu anakupenda sana na hii siri yangu na wewe sitoitoa mpaka nakufa".

Mpaka sasa napiga piga kwa dada mtu, kweli anajua mapenzi sana zaidi ya mdogo tu.

Lakini nikifikiria maumivu aliyo nayo mdogo mtu, sina amani kabisa na sikuwa na jinsi
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger