6/21/2020

Nyalandu Ataja Kipaumbe Cha Kwanza ni Watanzania Kufurahia MaishaMwenyekiti wa Chadema kanda ya kati Lazaro Nyalandu amesema kipaumbe cha kwanza kati ya vyote ni kuhakikisha mtanzania anafurahia maisha.

“Kila #Mtanzania afurahie maisha yake ndani ya nchi aliyompa Mungu wake, ” aliandika Lazaro katika ukurasa wake wa twitter


“#Hofu miongoni mwa watu isiwepo tena. #mifarakano isiwepo tena. # Kuoneana kusiwepo tena. #visasi visiwepo tena. # Nyalandu 2020,”. Aliandika Nyalandu
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger