Nyalandu Nyalandu "Saa Yangu ya CHADEMA Kunijua imewadia"


"Saa yangu ya CHADEMA kuona Nyalandu ni nani imewadia na siku kadhaa zinazokuja tutapata fursa ya kutembea sehemu nyingi Tanzania kuonana na wanachama na kuona baadhi ya sera kama zitafaa ili tuziendeleze" Lazaro Nyalandu, Mtia Nia URAIS, CHADEMA.


"Tutaweka sheria ya kuruhusu na kulazimisha shule zote za Kata Tanzania ziunganishwe na mkongo wa Taifa ya kuruhusu Data (bando) ziwepo katika shule za Kata (Msingi na Sekondari) ili iwasaidie walimu na wanafunzi katika kuwa na uwezo sio tu wakujifunza TEHAMA lakini vilevile wana uwezo wa kufikia library zilizopo katika Mitandao, itamfanya mtoto wa kijijini na mijini kufanana" Lazaro Nyalandu, Mtia Nia URAIS, CHADEMA.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

4 [disqus]: Nyalandu Nyalandu "Saa Yangu ya CHADEMA Kunijua imewadia"

 1. Nyalandu, Seraa zako, Zinaingia Akilini na zina uzika.

  Ila kuna jambo la muhimu ambalo unajaribu kujidanganya na kujifanya hulijuinalo ni.. Mweye Saccozi Mmiliki
  wake humtambui.?? au Humjui..??

  Came on bebi.. Wake Up..!! Muulize
  Zitto na Tundu Antipas Mughwai..
  waisha tengenezewa mazishi..Na wewe
  unatakayakufike hayo..?? Huwezi kufuzu
  wala kutusua. He controls All .

  Japo anaendelea na issue zake Tkukuru
  lakini he keeps Tabs wit da gang.

  Labda Atakuona/anakuona muhamiaji Msaliti jaribu pia kukaa na C. Mwambe
  kupata filemu vizuri.

  Kura yangu moja unayo kama itakupendez

  Amka mwanangu ujue uko wapi na katika
  mazingira yapi? na Mustakbali gani.

  Hapo ni bebi na kujibebisha.
  zaidi ni ..ni Faru Joni na KujiUsama.

  Jitathmini kwa Kina katika mazingira
  uliyopo na shirikisha Familia kwanza.

  Wewe unaona ya Membe(Fame) wao wanaona Hatari mbele.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mbona wanatuchanganya? Vibeko.!!

   Delete
 2. Nyalandu, Seraa zako, Zinaingia Akilini na zina uzika.

  Ila kuna jambo la muhimu ambalo unajaribu kujidanganya na kujifanya hulijui nalo ni Mwenye Saccozi Mmiliki
  wake humtambui.?? au Humjui..??

  Come on bebi.. Wake Up..!! Muulize
  Zitto na Tundu Antipas Aluta..(Mtandao presi da. Twita, fesibuku, smartchat)
  walisha tengenezewa mazishi..Na wewe
  unataka yakufike hayo..?? Huwezi kufuzu wala kutusua. He controls All .

  Japo anaendelea na issue zake Tkukuru
  lakini he, keeps Tabs wit da gang.

  Labda Atakuona/anakuona muhamiaji Msaliti. Jaribu pia kukaa na C. Mwambe
  kupata picha vizuri.

  Kura yangu 1 unayo kama itakupendeza

  Amka mwanangu ujue uko wapi na katika
  mazingira yapi? na Mustakbali gani.

  Hapo ni bebi na kujibebisha.
  zaidi ni ..ni Faru Joni na KujiUsama.

  Jitathmini kwa Kina katika mazingira
  uliyopo na shirikisha Familia kwanza.

  Wewe unaona ya Membe(Fame) wao wanaona Hatari mbele.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Jamani, mbona vimbele mbele.
   Sisi tunamjua mama Dkt MayRose.
   nyie wengine mnazukia toka wapi??? si mnajua FIRST INN FIRST SERVE. Then its Dkt MayRoz

   Delete