Official Nai: Wasanii hawana ushirikiano, Gigy Money alinunua vinywaji vya mil 5 hawakutokea kwenye tukio (+Video)Mwanamitindo na mjasiriamali ambaye ni rafiki yake na @gigy_money_og @officiall_nai ameeleza jinsi alivyosikitishwa na suala la wasanii kutokujitokeza kwenye Birthday party ya @gigy_money_og licha ya Kaulikwa.

Ikumbukwe @gigy_money_og alifanya party siku ya kuzaliwa kwake na mastaa hawakuonyesha ushirikiano hivyo aliongea kwa kusikitika akieleza kwamba yeye huwa msanii wa kwanza kuhudhuria anapoona msanii mwenzake ana tukio. @officiall_nai ameongeza kuwa @gigy_money_og alinunua vinywaji vya mil 5 kwa ajili ya wasanii aliowaalika lakini hawakufika.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE