Rais Magufuli Amvuta Profesa Jay CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rais wa Tanzania John Magufuli amemvuta aliyekuwa mbunge jimbo la Mikumi (CHADEMA) Joseph Haule kuhamia kwenye chama tawala cha mapinduzi (CCM) alikiwa ziarani mkono Morogoro.

Akizungumza wakati wa uwekaji jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Mahandaki ya reli ya mwendo kasi kati ya eneo la Kilosa hadi Makutupola mjini Morogoro.

“Nina furahi kukuona kijana wangu mbunge wa Mikumi (Joseph Haule) na nimeona ukivyofanya alama ya ngumi hi ishara nzuri ya CCM hoyee” amesema Rais Magufuli.

Ikumbukwe kuwa Rais John Magufuli yupo mkoani Morogoro kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi na kuzindua miradi mbalimbali inayoendelea kujengwa kwenye mkoa huo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zari la Mentali, nimezungumza nae.
    Anakiri yote, ameona na kushuhudia
    aliyofanya Mh Rais, pia yeye moyo na damu yake ni MCC ila alikwenda kwenye
    Saccozi kimakosa. na imemkosti miaka 5

    ReplyDelete

Top Post Ad