Rais Magufuli Uso Kwa Uso na Mbunge Lijualikali "Leo Atakuwa Lijualibaridi, Ebu njoo Usalimie Kidogo"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amempa nafsi aliekuwa Mbunge wa CHADEMA Lijualikali azungumze Mkoani Morogoro “Nimefurahi kumuona Lijualikali, leo atakuwa Lijualibaridi, ebu njoo usalimie kidogo, salimu kidogo acha kusoma wewe piga nondo najua umehamia umeanza na kupendeza”.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments