Rapper 2 Chainz ameshtakiwa na familia ya Pablo Escobar kwa kutumia jina la "Escobar"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rapper 2 Chainz ameshtakiwa na familia ya Pablo Escobar kwa kutumia jina la "Escobar" kwenye migahawa yake.

Kwa mujibu wa mtandao wa XXL jana Alhamis (June 18), shauri hilo lilifunguliwa Jumatano na familia ya nguli huyo muuzaji dawa za kulevya likimshtaki 2 Chainz na mshirika wake kibiashara Mychel "Snoop" Dillard, wakidai fidia ya kiasi cha Dola za Kimarekani ($10M) sawa na Bilioni 23 za Kitanzania kwa kutumia jina la Escobar kibiashara kwenye migahawa yake ya mjini Atlanta; Escobar Restaurant And Tapas.

Familia ya Escobar inaeleza kwamba jina hilo limesajiliwa kama alama ya biashara.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad