Roma Mkatoliki Amchana Vibaya Nay wa Mitego "Ulichoimba Umemkosea Mungu...Nikushauri Nenda Haraka Ukamuombe Mama yako Msamaha"

Rapper @roma_zimbabwe Ameshusha Ujumbe Mrefu Kwa Msanii Mwenzake @naytrueboytz Na Kumwambia Kuwa Amemkosea Sana Mama Yake Mzazi, Na Ikumbukwe Kuwa Haya Yote Yametokea Baada Ya Mama Wa NAY WA MITEGO Kuongelea Jinsi Ambavyo Aliupokea WImbo Wa Mungu Yuko Wapi Na Kumtaka NAY WA MITEGO Aufute Wimbo Huo Kwenye Mtandao Wake Wa You Tube

Kupitia Ukurasa Wa Instagram Wa ROMA MKATOLIKI Ameandikaa....

''Kwako @naytrueboytz
-- Acha Uboya Wewe @naytrueboytz Unamkwaza Na Kumuumiza *Mother Umemkosea Sana!! Ameongea Kwa Uchungu Na Hisia Kali Sana!! Mimi Binafsi Ameniumiza Saana!! 🥺

Kwanza Ulichoimba Umemkosea #Mungu Pili Mungu Wa Duniani Ambaye Ni Mzazi Yaani *Mama Naye Unamkosea!!

Nikushauri Tu 🤔 Leo Kama Bado Hujaenda Kumuona!! Nenda Haraka Kamuone *Mama Na Umuombe Msamaha!! Vitu Vingine Mnajitaftia *Laana Bureee Kabisa!!
That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments