AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Msanii wa filamu Shamsa Ford amefunguka kuzungumzia namna anavyosumbuliwa na vibenten.
“Vibenten vinanisumbua sana, yaani sijui kwanini. Unakuta kijana kidogo kinakuja huku linang’ata ng’ata mdomo”
Aliongeza “Naomba mnikome, tena sasa hivi vikinitongeza asubuhi mchana anakutana na bili ya dola 5000 atakimbia tu”
VIDEO:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK