Shilole Afunguka Kuhusu Kumzalia Uchebe "Mimi Sio Tasa"Msanii wa muziki wa bongo ambaye pia ni CEO Wa Shishi Food Shilole Amefunguka Kuhusu Kwanini Anaonekana Kama Hataki Kupata Mtoto Na Kusema Hata Yeye Anatamani Ila Mambo Hayapo Sawa,

Kutoka Kwenye Kipindi Cha big sunday live SHILOLE Amesema....

''Maswali Yamekuwa Ni Mengi Why SHISHI Tangu Umeolewa Hutaki Kuzaa Mimi Sio Tasa Nina Watoto Tena Wakubwa Sana Tena Wana Akili Timamu Ila Tu Mambo Hayajakaa Sawa Bado, Hauwezi Kujua Yanayojiri So Tuendelee Kuwa Na Subira MUNGU Yupo Pamoja Nasi Kwenye Maombi Yetu Hata Mimi Naomba Na UCHEBE Nae Anatamani Nimzalie Mtoto Hata Nikiwa Sipo Nae Ajue Kuna Mtoto Ni Basi Tu Mambo Hayajakaa Sawa Lakini Nitapata Kwa Uwezo Wa Mwenyezi MUNGU" SHILOLE

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments