Simba SC atwaa ubingwa msimu wa 2019/20

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Timu ya Simba SC imefanikiwa kutetea taji lake la ubingwa wa Ligi Kuu Tanznaia Bara (VPL) ikiwa bado na mechi sita mkononi baada ya kutoka suluhu na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa leo na kufikisha pointi 79 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye msimamo wa ligi. . 

Huu ni ubingwa wa tatu mfululizo kwa Simba baada ya kufanya hivyo pia katika misimu miwili iliyopita 2016/17 na 2017/18
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad