6/22/2020

Sitegemei IGP, CDF mkagombea- JPM


“Kafanyeni kazi na mkaridhike na mlichonacho, shida kubwa ya Vijana wengine ukiwapa nafasi wana shida ya kutoridhika na nafasi walizonazo, bila kuelewa kuna miaka mingi, nitamshangaa leo IGP akienda Bunda akaenda kugombea akitegemea nitamteua kuwa Waziri” -JPM

“Nitakushangaa RC Morogoro uwe una mpango wa kwenda Monduli kugombea Ubunge, nitamshangaa CDF akienda kugombea ili awe Waziri wa Ulinzi, nitamshangaa IGP akigombea Ubunge, kwanza unaweza kugombea nikakutata jina lako vilevile, tukamchukua mshindi wa 3, itategemea nimeamkaje”-JPM

“Natoa wito kwa Viongozi ninaowateua kujifunza kuridhika na nafasi walizonazo, huwezi ukawa na kila kitu, lakini Demokrasia iko huru siwazuii kwenda kugombea kama unaamua kwenda kugombea uongozi nenda tu”-JPM
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

3 comments:

 1. Magu, Vihivyo... Ubunge ni Dili??
  ningeomba tupitie mchakato wote wa
  malipo ya vikao na posho.

  Sababu kubwa hawa wananchi tunao waamini kutuwakilisha bungeni wanasahau Majuumu na Maadili husika baada ya kuona pesa zinaingia usiku na mchana na mwakilishwa Mama ntilieenamshona viatu Barabarani na fundi Cherehani hajui atapata mlo wake na watoto wake usiku. Mheshimiwa mwakilishi anakwenda kama si mihedarati basi ni Faru Joni au kwa Rajabu na Jesca..

  We are overpaying.. Wabunge.

  Dkt Mpango/ Ndugai / Utumishi na wahuusika wote.. We need to turn the stone .

  JPJM tuna imani na wewe.. Majaliwa pia

  ReplyDelete
 2. Magu, Vihivyo... Ubunge ni Dili??
  ningeomba tupitie mchakato wote wa
  malipo ya vikao na posho.

  Sababu kubwa hawa wananchi tunao waamini kutuwakilisha bungeni wanasahau Majukumu na Maadili husika baada ya kuona pesa zinaingia usiku na mchana. Na Mwakilishwa Mama ntilie na mshona viatu Barabarani na fundi Cherehani hajui atapata mlo wake na watoto wake jioni. Mheshimiwa mwakilishi anakwenda kama si kwenye mihedarati basi ni Faru Joni au kwa Rajabu na Jesca..( Michepuko )

  We are overpaying.. Wabunge.
  we need to cut off the unnecessary.

  Dkt Mpango/ Ndugai / Mkuchika/Utumishi na wahuusika wote.. We need to turn the stone .

  JPJM tuna imani na wewe.. Majaliwa pia

  ReplyDelete
 3. Magu, Vihivyo... Ubunge ni Dili??
  ningeomba tupitie mchakato wote wa
  malipo ya vikao na posho.

  Sababu kubwa hawa wananchi tunao waamini kutuwakilisha bungeni wanasahau Majukumu na Maadili husika baada ya kuona pesa zinaingia usiku na mchana. Na Mwakilishwa Mama ntilie na mshona viatu Barabarani na fundi Cherehani hajui atapata mlo wake na watoto wake jioni. Mheshimiwa mwakilishi anakwenda kama si kwenye mihedarati basi ni Faru Joni au kwa Rajabu na Jesca.( Michepuko )

  We are overpaying.. Wabunge.
  we need to cut off the unnecessary.

  Dkt Mpango/ Ndugai / Mkuchika/Utumishi na wahusika wote.. We need to turn the stone .

  JPJM tuna imani na wewe.. Majaliwa pia

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger