Spika Ndugai "Kuna Wabunge Hasa Hao Wenye Fujo Wanatumia Madawa ya Kulevya na Bangi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



“Ni ukweli usiopingika kwamba yako mambo Watanzania hawayajui na huwa hatupendi sana kusema ni kweli baadhi ya Wabunge na hasa hao wenye fujo baadhi yao wanatumia madawa ya kulevya, wanatumia bangi, baadhi yao wanakunywa konyagi au gongo gani, wanakuja pale sio yeye”-SPIKA NDUGAI

“Tulifika mahali ambapo tumewafungia Wabunge wengine mwaka mzima asirudi Bungeni, Mbunge mwingine mnampeleka kwenye kamati ya maadili anaenda anawaambia mimi nimefanya na nikipata nafasi narudia tena na msinisamehe na viadhabu vyenyewe kwenye vitabu ni vidogo” - SPIKA NDUGAI
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kweli, tumewaona na kushuhudia hayo
    na sababu kubwa ilikuwa ni kwamba
    hawakupata malezi mazuri ktk Familia
    zao husika na kukosa Maadili na Heshma
    na Adabu. wanasema Nimehasol mwenyewe
    na Poosho inanipa time. Ni ukosefu wa
    Nidhamu na kuto jielewa.

    Yamekwisha sasa. Media msiwape AIRTIME

    WA ACHENI WARUDI KUHASOL MTAANI.

    Tunataka Waheshimiwa wenye Kujiheshimu

    ReplyDelete

Top Post Ad