6/19/2020

Spika Ndugai "Tulifika Mahali Ambapo Live Camera ikaliharibu Bunge"


“Tulifika mahali ambapo live camera ikaliharibu Bunge, Watu wakawa wanatukana, wanakuwa na tabia mbaya, unakuta mmekubaliana kabisa kwenye kamati kila kitu, jambo lile lile likiingia Bungeni inakuwa kama mchezo wa kuigiza” - SPIKA NDUGAI

“Live Camera' iliharibu Bunge, watu wakawa wanatukana,kitu hakiingii Bungeni kinapitia kwenye kamati mbalimbali kimechujwa, mnakubaliana likiingia Bungeni tu wanabadilika sio yule, wanafanya maigizo, kamera isipokuwepo anafikiri sawasawa, ikiwepo camera anabadilika"-NDUGAI

“Hata kwa Mabunge ya Nchi zilizoendelea kama Uingezereza si kweli kwamba ni Live kihivyo, wanaicheleweshea kama dakika mbili au tatu kati ya kinachotokea Live na kinachokuwa Live wanajaribu ku-edit kidogo vitu ambavyo ni aibu kwa Taifa”-SPIKA NDUGAI
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger