Steve Nyerere Adai Kutishiwa Kuuawa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Muigizaji wa filamu nchini Steven Mengele, maarufu kama Steve Nyerere, amesema kuwa anawashukuru wale wote wanaomtishia kumuua, hii ni baada ya yeye kuonesha nia ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM, ambalo liko chini ya Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA.


Muigizaji na mtangaza nia ya kugombea Ubunge, Jimbo la Iringa Mjini, Steve Nyerere.

Steve Nyerere ametoa kauli hiyo leo Juni 19, 2020, jijini Dar es Salaam, wakati akitangaza nia yake ya kugombea Ubunge na kueleza yeye ndiye atakuwa Mbunge mfupi na machachari kuliko wote.

"Mimi ndiyo Mbunge wa Iringa labda itokee niseme sitaki, nakwenda kurudisha jimbo letu, nawashukuru wanaonitukana na kunitishia kuniua maana wanazidi kunipa nguvu" amesema Steve Nyerere.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh. mtarajiwa Steve Nyerere, Iringa
    ni Jimbo liko wazi na liko tiyari kukupokea kwa mikono miwili, Kibeko atakuwaRahisiwa debe za stendi ya TosaMaganga. Nasikia Maisha ya mjini yamemshinda..!!! Asikubabaishe.

    Pia tumemtafutia Ajira katika Mabasi ya Mh.Msukuma n Shabiby.Chaguo ni lake

    ReplyDelete

Top Post Ad