Tetesi za Vanessa MDEE Kuwa Mjauzito Zilizosababisha Kuacha Mziki...Mwenyewe Afungukia Ujauzito Huo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi wamejitokeza na kutupilia mbali tetesi na  uvumi ambao umekuwa ukienea kuwa ni mjamzito,mbali na hayo waliwaacha mashabiki wao wakiwa na tabasmu baada ya kusema hivi karibuni habari njema zaja.

KUlingana na Vanessa hajaweza fika mahali pa kupata mtoto wake kwa maaana kuna mambo kadhaa hajakamilisha katika orodha yakee na kwa hivyo wakati ukifika atapata ujauzito.

“No sina mimba bado, soon.” Alizungumza Mdee.

Pia msanii huyo alifichua mambo mengi na kuwashukuru mashabiki wake wa jumbe za upendo na kumuelewa kwanini aliweka kikomo katika uimbaji wake.

Kupitia kwenye podccast pia tulijuwa kuwa Rotimi ameamua kuanzisha familia na Mdee, kama vile alivyo muahidi msanii huyo.

Hii ni baada ya mashabiki kutambua na kujua kuwa Rotimi anampenda Mdee na huwa anampa furaha aliokuwa anatarajia kutoka kwa mwanaume atakaye kuwa anampenda.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad