google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Ulevi wa Kupindukia na Ugomvi na Mama Yake Vimefanya Vanessa Mdee Kuacha Muziki | UDAKU SPECIAL

Ulevi wa Kupindukia na Ugomvi na Mama Yake Vimefanya Vanessa Mdee Kuacha Muziki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii Vanessa Mdee amesema hataki kuwa sehemu ya tasnia ya muziki na mfumo wa kazi wala kwenye soko la muziki, pia amehusisha sababu kama ulevi uliopitiliza, ugomvi na mama yake,sapoti huzuni na presha ndiyo vimemfanya kuacha muziki

Akifafanua suala hilo la kuacha muziki kupitia YouTube Channel yake Vanessa Mdee amesema

"Nimepitia changamoto nyingi sana kwenye upande wa muziki na imenipelekea kutaka kuacha au kuamua kuacha kuwa sehemu ya soko la muziki, nyuma ya pazia tasnia ya muziki ni tasnia ambayo bila ya kufahamu au kuielewa vizuri unaweza ukaona tunafanya show, tunasafiri, tunaachia nyimbo tuna mashabiki lakini kiukweli sio sehemu ya kawaida ya maisha ya mwanadamu"

Pia kupitia Podcast yake inayoruka mtandaoni Vanessa Mdee amesema alikuwa na ugomvi na mama yake kuhusu muziki hali iliyokuwa akikosa sapoti kutoka kwa mzazi wake huyo, pia ulevi, huzuni na presha vimechangia kuacha muziki.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad