Young Killer - "Wolper Alinifumania na Mwanamke Mwingine Chumbani...Akasepa na Kuvalishwa Pete Bila Kufikiria"


Young Killer Amefunguka kwanini waliachana na Mrembo Jack Wolper Baada ya kuwa kwenye mapenzi ya siri kwa muda mrefu

Young Killer - "Wolper alinifumania na mwanamke mwingine chumbani kipindi nipo kwenye mahusiano nae ndio maana akapata hasira na kuamua kuvishwa pete haraka haraka bila kufikiria na kikamtokea kilichomtokea"

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments