Abbas Mtemvu Aongoza Kura za Maoni CCM Jimbo la Temeke, Abdallah Mtolea Apigwa Chini


Abbas Mtemvu ameongoza kwa kura 203 katika Jimbo la Temeke akifuatiwa na Doris Kilave kura 182 huku watatu akipata kura 40. Idadi ya waliopiga kura ni 367.

Mbunge aliyemaliza muda wake Abdallah Mtolea amepata kura 22.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments