Ahmed Albaity, Mtanzania Aliyepooza Mwili Wake, Kuanzia Shingoni Hadi Miguuni Kwa Miaka 13

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ahmed Albaity (36), Mtanzania aliyepooza mwili wake, kuanzia shingoni hadi miguuni, baada ya kujigonga kwenye shingo wakati akiogelea kule mkoani Tanga miaka 13 iliyopita, amezungumza na Global TV kuelezea hali yake ya kiafya ilivyo sasa.

Ahmed Albaity amesema Maisha yake kwa zaidi ya Miaka 13 yamekuwa ni ya kitandani, hawezi kusimama, kukaa kutokana na Matatizo ya Spinal Cord alitoyapata miaka 13 iliyopita alipokuwa akiogelea huko Tanga.

Story ya maisha yake Inasikitisha Sana,
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad