google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Akina Dada Huu Utaalamu Utawacost Sana 'Hivi inakuwajue Unaweka Viungo Sehemu za Siri Kama Pilau? | UDAKU SPECIAL

Akina Dada Huu Utaalamu Utawacost Sana 'Hivi inakuwajue Unaweka Viungo Sehemu za Siri Kama Pilau?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekutana na huyu dada anaomba ushauri kwa Joyce Kiria

Miaka 3 ilopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana.....nawashwa sana sehemu za siri (uken). nilienda baadhi ya hospitali wanasema ni fungus nikatumia dawa baada ya wiki tatizo likajirudia. Nimekuwa mtu wa kujikuna wakati wote. Ukeni panawaka moto kwa kujikuna, nimeendelea na tiba mpaka likaibuka tatizo jingine . kila ninapofanya tendo la ndoa napata maumivu ambayo hayaelezeki wakati mwingine mpaka naanza kubleed.

Kurudi tena hospitali wakasema nipime vipimo vya kansa lakini tatizo likazidi kuongezeka na sasa siwezi hata kufanya tendo la ndoa. madaktari ktk vipimo wakagundua kwenye uk-e kuna wekundu mwingi sana badala ya rangi ya pink.
Kumbe ile rangi nyekundu ni sehemu ambayo imeshambuliwa na bacteria wasiosikia dawa. Wakajaribu kupeleka dawa sehemu iliyoathirika bado ikashindikana kuwaua!

Baadae madaktari wa Muhimbili wakaniuliza ninavyofanya usafi katika sehemu zangu za siri na nikawambia ukweli kwamba, "NASAFISHA KWA KUINGIZA VIDOLE NDANI, NAJIINGIZA ASALI NA PAMBA NDANIILI UKKE UWE UMEBANA NA VINGINE VINGI tu tunavyoshauriana na wasichana (VIUNGA SEHEMU ZA SIRI).

Madaktari wakasema sababuya tatizo langu nimeua bakteria wote walinzi ndani ya ukke ndo maana nimmeshambuliwa na bacteria ambao hawaskii dawa

Ndugu zangu nilikuwa nikiunga sehemu za siri (ukke) kwa VIUNGO na naingiza kucha pamoja na sabuni ili uwe ubane na upendeze. Sasa nimeshauriwa nitoe kizazi katika umri wa miaka 29 kwani nikiacha itakuwa kansa. Najua mna ndugu zenu wa kike au wake zenu. Wape tahadhari juu ya hili.

My take: Hivi hadi uweke asali, vidole, pamba nk ndani ya ukkke ili ubane unatafuta nini? Kuna mashindano ya zinazobana, na wanawapa tuzo gani hadi utake risk kias hiki?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad