7/14/2020

Alichokifanya Morrison Angekifanya Mchezaji Wetu Lazima Tungemfukuza- Haji ManaraLeo Katika kipindi cha Sports Arena cha Wasafi Fm alikuwepo msemaji wa klabu ya Simba Sc Haji Manara Kupitia Mahojiano Ayo Amesema..

''Kitendo Cha Morrison Angekifanya Mchezaji Wetu Lazima Tungemfukuza, Bernard Morrison Ni Mkubwa Kuliko Young Africans'' Haji Manara

Katika Mahojiano Hayo Pia Msemaji Huyo Aliwaomba Radhi Mashabiki Wa Klabu Hiyo Ya Simba Kuwa Ushindi Mwembamba '' Wanasimba Tunaomba Radhi Kwa Ushindi Mwembamba, Mtusamehe'' Haji Manara
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger