7/16/2020

Aliyekuwa Mbunge Arumeru Ashindwa Kwenye Kura za Maoni, Aliyepitishwa Huyu Hapa


Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Gybson Ole Meiseyeki kupitia CHADEMA ameshindwa kwenye kura za maoni za chama hicho baada yakupata  kura 93 huku aliyeongoza Ayub Ezekiel Isangya akipata  kura 96

Kwa mujibu afisa uchaguzi kanda ya Kaskazini wa chama hicho Toti Ndonde amesema pamoja na kura hizo kupigwa bado mchakato wakumpata mgombea huo unaendelea
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger