7/14/2020

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Bank achukua fomu ya kuwania Ubunge
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Bank Dr. Charles Kimei leo ameingia kwenye orodha ya Watanzania waliochukua fomu za kuwania Ubunge (CCM) kwenye jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro ambalo limekuwa chini ya James Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger