7/14/2020

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri Achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la SihaMbunge wa zamani wa jimbo la Siha,na mkuu wa mkoa mstaafu wa Tabora Aggrey Mwanri amechukua fomu ya ubunge wa jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro kupitia chama  cha Mapinduzi - CCM

Mwanri amekabidhiwa fomu na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha Mwanaidi Mbisha katika Ofisi za CCM Wilaya.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger