Aliyevunja rekodi yakuwa rubani mdogo Tanzania autaka ubunge Arusha,wengine wajitokeza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakati Mchakato wa Kuchukua Fomu za Wagombea ndani ya Chama cha Mapinduzi ukiwa bado unaendelea katika Majimbo mbali mbali Tanzania, Kijana Bosco Temu aliyewahi kuvunja rekodi ya Kuwa rubani Mdogo wa Kwanza Tanzaia amechukua fomu yakugombea ubunge jimbo la Arusha mjini

Wakati huo huo wagombea katika nafasi mbalimbali wameendelea kujitokeza ikiwemo mtoto wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Tanzania Marehemu Meleu Mrema,Michelle Mrema ambaye anagombea ubunge mkoa wa Arusha  kupitia UVCCM,Saimon Range aliyechukua fomu yakugombea ubunge Arusha mjini pamoja na  Grace kamitima ambaye anagombea ubunge  UWT Arusha.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad