7/14/2020

Askofu Gwajima Ajitosa Rasmi Kwenye Siasa......Achukua Form ya Ubunge Kawe Kumkabili Halima Mdee


Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

  1. Kwa kawe huyu hatoshi no bora Mfinanga. Ana uzoefu na anajua kawe vilivyo na ndio Ali fanya Mdee kuwa Kawe.

    Askofu NI bora aendelee na na yake na exposure aliyonayo kama Si kibaraka BASI NI rahisi kuiingiza nchi KATIKA machafuko ya kidini ukiangalia uropokaji na uhamasishaji WA waumini kanisani kwake dhidi ya upande WA Pili.

    Viashiria vya kutumika vipo.

    ReplyDelete

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger