7/16/2020

Auawa kikatili kwa kuchinjwa shingoni na Mumewe kisa unyumba

Polisi Mkoani Katavi wamesema Dalali Malongo(20) Mkazi wa Kijiji cha Mipanga, Katavi, ameuawa kikatili kwa kuchinjwa shingoni na Mumewe Kisabo Joseph baaada ya Mume kukasirishwa na kitendo cha Mkewe kumnyima unyumba kwa muda mrefu na kuhisi huenda anachepuka. 

“Kila Joseph alipokuwa akimuomba Mkewe Dalali Malongo ampe tendo la ndoa Mke alikataa, Mume akahisi labda Mkewe anamsaliti akachukia, amemvizia na kumchinja kwa kutumia kisu kisha Mume akajinyonga juu ya mti na wote wamefariki”- RPC Katavi, Benjamin Kuzaga

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger