Baba na Mwanawe Waishi Vichakani Baada ya Kutimuliwa na Mwenye Nyumba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baba na mwanawe waishi vichakani baada ya kutimuliwa na mwenye nyumba
Baba na mwanawe wamekuwa wakiishi kwa nyumba iliyoundwa kutumia magunia na mifuko ya plastiki.

Kulingana na Citizen TV, Kilonzo ambaye alikuwa akifanya kazi ya vibarua ya kusambaza kuni katika hoteli alijikuta bila kazi baada ya maeneo hayo kufungwa kutokana na mlipuko wa coronavirus.

Alimpa mwanawe nauli ya kusafiri hadi nyumbani ili atafute namna lakini alipowasili alikataliwa na wajomba ambao walimtimua na kumrejesha Machakos.

Mzee huyo alitorokwa na mkewe wakati mwanao akiwa na mika miwili na amejikaza katika kila hali kumlea pekee yake.

Hata hivyo, mmili wa shamba ambalo wawili hao walikuwa wanaishi aliwakuta na kudhani walikuwa na akili tahira hadi pale ambapo aliketi nao na kuzikiza simulizi yao ya kuvunja moyo.

Kilonzo hupata kupumzika nyakati za mchana kwani yteye husalia macho usiku kutwa kumlinda wanawe wa pekee.

Wawili hao wanategemea chakula cha msaada kutoka kwa wahisani.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad