Benard Membe Kutambulishwa Rasmi ACT- Wazalendo Kesho

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameweka wazi kuwa kesho Julai 16, 2020 watambambulisha rasmi aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Bernard Membe kuwa mwanachama rasmi wa chama hicho

Zitto ameweka wazi hayo kwenye ujumbe alituma kwenye ukurasa wake wa twitter akiwa ameweka picha ya Membe hukua akiwa ameshikiria kitabu cha ACT-Wazalendo.

Amesema, Membe atatambulishwa kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa mlimani City mbele ya wanachama wa chama hicho.

Kwa muda mrefu sasa Bernard Membe amekuwa akihusishwa na kuhamia kwenye chama cha ACT wazalendo baada ya kufukuzwa CCM kwa madai ya kukiuka baadhi ya taratibu za chama hicho
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad