7/31/2020

Breaking News: Harmonize Kazidi SIFA...Amsainisha Mwimbaji Skales Kwenye Lebo yake ya Konde Gang


Harmonize amezidi kuitanua ngome yake, leo ametangaza kumsaini mwimbaji wa Nigeria Skales kwenye label yake ya Konde Music World Wide.

Hii imekuja baada ya siku chache zilizopita @harmonize_tz kutangaza kuwa ataongeza wasanii wengine watatu kwenye Label hiyo akiwemo mmoja kutoka Nigeria.

Harmonize na Skales tayari wamekuwa washirika wa muziki kwa kufanya kazi nyingi pamoja ikiwemo Oyoyo, Oliver Twist II REMIX, Fire Waist na Rumba iliyopo kwenye album ya Afro East ya Harmonize.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger