Breaking News: Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa amefariki dunia.
BreakingNews Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa amefariki dunia. 

Akitoa taarifa hiyo, Rais John Magufuli amesema Mkapa amefariki leo akiwa hospitali jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. 

Taarifa zaidi zitaendelea kukujia. L

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments