7/20/2020

Dadeki...Uwezi Amini Diamond Platnumz Amzawadia Zuchu Gari Hili la Gharama Baada ya Kupiga Hela ya Kutosha Show ya Zuchu


Wasafi CEO Diamond Platinumz has surprised new signee Zuhura Kopa, also known as Zuchu with a brand-new car.

The musician was gifted the car on Sunday July 19 while performing live at Big Sunday Live.

Zuchu took to social media with a thank you message saying  Diamond,
“Mwenyezi Mungu wangu nasema Alhamdulillah, Mbariki boss wangu na umuongeze kwa hiki kikubwa alichoniongezea kwenye maisha yangu. Si kila mtu anamoyo kama wako boss hakunaaa cha kukulipa My brother hakuna kwakweli Allah akupe umri wa uhai wenye mafanikio zaidi unatuokoa wengi sana @diamondplatnumz Asante boss.”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger