Ticker

6/recent/ticker-posts
.

David Silinde Ashindwa Kura za Maoni CCM Jimbo la Tunduma.....Mshindi ni Aden Mwakyonde

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREAliyekuwa mbunge wa Momba kupitia Chadema, David Silinde ameshindwa kura za maoni Jimbo la Tunduma Mkoa wa Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 118 huku Aden Mwakyonde akiibuka mshindi kwa kura 250 na Daines Sichalwe kura 20.

Post a Comment

0 Comments