7/23/2020

Diamond Platnumz Aanza Kumpigia Kampeni BABU TALE "Sina Mashaka na Uongozi Wako, Kama Uliweza Niongoza Mimi na Wasafi"


Diamondplatnumz AMEANDIKA KATIKA UKURASA WAKE WA INSTAGRAMU;-

"SIO TU USHINDI BALI USHINDI WA KISHINDO...!!! Nasemaje kama Nilivyosema Mwanzo sina Mashaka na uongozi wako, kama Uliweza niongoza MIMI / WASAFI na Wasanii mbalimbali na tukaweza fikia Hapa, basi naamini Unaweza iongoza vyema Morogoro Vijinini Kusini mashariki, na Kuipatia Maendeleo wanayoyataka....Tunasubiria Kamati Kuu tu imalize shughuri tuanze Kufumua Manyimbo na Kamapeni ianze Tulichukue Jimbo kwa Kishindo!!! πŸ‘‹πŸΌπŸ˜‚πŸ˜‚ TALE HOYEE...??"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger