Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Diamond Platnumz Amfungukia Paul Makonda Baada ya Kubagwa Kura za Maoni "Uliupa Uthamani na Hadhi Umkuu wa Mko"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Ameandika Haya Kupitia Ukurasa Wake wa Instagram:

"Siku zote umekuwa mstari wa mbele kuhakikisha jamii inaona Mazuri anayoyafanya Rais wetu, na jinsi Rais wetu na serikali ya awamu ya tano inavyotupenda na kutuletea Maendeleo na kutupigania Wanyonge....ulisimamia maagizo ya Ngazi za juu kutenda na pia kueka misimamo ili wananchi wafaidike na Serikali ya Awamu ya tano kupata heshima inayostahili....haukujali lawama kwenye kupigania maslahi ya wananchi hata pale ilipogharimu Kurisk Maisha yako....Ulitetea wakina mama, walemavu, walimu, madaktari, wagonjwa, wanafunzi na Kupigana Vita kubwa ya Madawa ya kulevya ili kuwaokoa vijana wengi na kufanya wazazi wailo waishi kwa amani sasa...Umeipa Thamani na Heshima kubwa Dar es Salaam...Uliupa uthamani na Hadhi Umkuu wa mko, na kupitia wewe ulifanya wakuu wa mikoa wazidi kuheshimika zaidi....na Mengi ambayo hayatoshi kwa kuyaandika hapa... Inshaallah Mwenyez Mungu azidi kutubariki Uzidi kumsaidia Mh Rais katika kutimiza malengo yake ya kutuletea Tanzania Maendeleo ya kihistoria 🙏🏼 @baba_keagan"

Post a Comment

0 Comments