Diamond Platnumz "Nimemalizana na Universal, Ninapoona Msanii Ana Sign Namsikitikia"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkurugenzi wa lebo ya muziki ya WCB diamondplatnumz ameweka wazi kuwa amemalizana na lebo ya Universal ambayo alimwaga wino kusambaza kazi zake za muziki

Diamond amesema kuwa mejifunza mengi kupitia mikataba yao kiasi kuwa akiona msanii ana sign anamsikitikia

Diamond amesema "Nimefanya kazi na Universal takribani miaka miwili na nusu nimemalizana nao mwaka huu. Nisiwe mnafiki ninapoona msanii yeyote aki sign mara ya kwanza namsikitikia. Dada yangu vanessamdee ali signiwa niliwaambia uongozi kwamba duuh natamani ajue anachoenda kukutana nacho. Lakini mimi sio mtu wa kuongea mitandaoni nakaaga tu kimya"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad